Wednesday, September 13, 2017

SIMBA WANDELEA NA MAZOEZI BAADA YA SIKU CHACHE KUTOKA SALE NA AZAM

 Kocha wa Simba, Joseph Omog kushoto akitoa maelekezo mchezaji wake

  Kocha wa Simba, Joseph Omog kushoto akitoa maelekezo mchezaji wake, Said Ndemla


 Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi ya kukimbia
 Kumiliki mpira
  Kocha, Omog kushoto akimwambia kipa wa timu hiyo kuwa umenenepa


  Tunafanyaga hivi

 Mwinyi Kazimoto akiluka

 Mohamed Hussein

  Kotei

  Wakikontroo mpira





  Kipa wa Simba Aishi Manula











No comments:

Post a Comment