Makipa wa Yanga wakifanya mazoezi baada ya kuvunja mgomo katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jana
Kocha wa Yanga, Geogre Lwandamina, akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi ya timu hiyo katika Uwanja Uhuru Dar es Salaam
Kocha wa Yanga, Geogre Lwandamina (kushoto), akifanya mazoezi ka kiungo wa timu hiyo, Kabamba Tshishimbi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
Wachezaji wa Yanga, Haji Mwinyi (kulia) na
Baruan
Akilimali, wakichuana kuwania mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo yalipfanyika katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
Wachezaji wa Yanga, Tahaban Kamusoko (kulia) na, Rafael Daud wakiwania mpira
Tshishimbi akikontroo mpira
Kocha wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali akisimamia mazoezi ya makipa wa timu hiyo
Makocha wa Yanga
No comments:
Post a Comment