Saturday, September 16, 2017

YANGA NA MAJIMAJI HAKUNA MBABE WAFUNGANA BOA, 1-1

 Mashabiki wa Yanga
 Mashabiki wa Yanga

 Mashabiki waMajimaji ya Songea

 Kikosi cha Yanga kilicho cheza na Majimaji

 Mashabiki wa Yanga


 Kikosi Cha Majimaji ya Songea

 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akijalibu kumtoka mchezaji wa Majimaji ya Songea, Tumba Suwed  katika  mchezezo wao wa ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika katika Uwanja wa Majimaji jana

  Mashabiki wa Soka wakiwa juu ya miti mjini Songea

 Wachezaji wa Majimaji wakishangilia baada ya kupata bao la kuongoza dhidi ya Yanga

  Mashabiki wa Majimaji

 Shabiki wa Yanga

  Mashabiki wa Majimaji




  Msha,buliaji wa Yanga, Obrey Chirwa kulia, akimtoka mchezaji wa Majimaji, Juma Salamba

 Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kupata bao la kusawazisha







 Ngoma akipiga mpira kichwa na kufunga bao la kusawazisha



Mchezaji wa Yanga, Emmanuel Martin akitolewa nje baada ya kuumizwa na mcheza wa Majimaji

No comments:

Post a Comment