Mratibu wa Tamasha la jipya la kimataifa la filam
litakalojulikana kwa jina la Sinema Zetu, linalozaminiwa na Kampuni ya Azam Tv,
Zamaradi Nzowa, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam juu ya kuanza
kushindanish kazi za wasanii. Picha na Double J Blog
Msanii wa Filam nchini, Elizabeth Michael (Lulu),
akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kuteuliwa na
Azam Tv kuwa balozi wa Tamasha la jipya la kimataifa la filam litakalojulikana
na kwa jina la Sinema Zetu, linalozaminiwa na Kampuni ya Azam Tv, (katikati) ni
Mkurugenzi wa tamasha wa Tv, Jacob Joseph na kulia ni, mratibu wa
tamasha hilo, Zamaradi Nzowa. Picha na Double J Blog
No comments:
Post a Comment