Kipa wa timu ya Tanzanaite, Gelwa Yona akiokoa mpira ulioelekezwa golini kwake wakati wa mchezo wao dhidi ya Nigeria uliochezwa katika Uwanja wa Chamazi. Picha na Double J blog
Kikosi cha Nigeria cha wanawake
Kikosi cha Tanzanite ya Tanzania
Mchezaji wa Tanzanite, Zainab Ati akiwatoka
wachezaji wa Nigeria wakati wa mchezo wao wa kufuzu fainali za Dunia kwa
wanawake waalio chini ya miaka 20 uliochezwa katika Uwanja wa Chamazi Dar es
Salaam jana
No comments:
Post a Comment