Wednesday, October 25, 2017

KILIMANJARO MALATHON YAZINDULIWA NA WAZIRI MWENYE DHAMANA


Waziri wa Habari, Utamaduni,  Sanaa na Michezo. Dk Harrison Mwakyembe (katikati), akikata utepe kuzindua rasmi mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2018 Dar es Salaam. Wengine kutoka (kushoto) ni Meneja Masoko wa TBL Group anayesimamia Grand Malt, Warda Kimaro, Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Henry Kinabo, Katibu Mkuu wa TOC, Filbert Bayi, Mkurugenzi Msaidizi wa Michezo, Alex Nkenyenge, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli, Mkurugenzi wa Masoko wa TBL Group, Thomas Kamphuis na Makamu wa Rais wa Chama Cha Riadha Tanzania, William Kallaghe. PICHA NA DOUBLE J BLOG

No comments:

Post a Comment