SHIRIKISHO LA SANAA ZA UFUNDI LASAINI MKATABA NA KAMPUNI YA DATA VISION
Rais
wa Shirikisho la Sanaa za Ufundi Tanzania, Adrian Nyangamale (kulia), na Kaimu
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Data Vision, William Kihula, wakibadilishana
mikataba ya mradi wa Sanaa za Ufundi Tanzania Dar es Salaam jana (katikati)
anyeshudia ni Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na michezo, Juliana Shonza. PICHA NA DOUBLE J BLOG
No comments:
Post a Comment