Sunday, October 22, 2017

KOCHA MSAIDI SIMBA MASOUD DJUMA KUSHOTO AKIWA NA MJUMBE WA TIMU HIYO, SAID TULI

Kocha msaidizi wa Simba Masoud Djuma, akiwa juu ya jukwaa akifuatilia mechi dhidi ya timu yake na Njombe Mji (kulia), Mjumbe wa Kamati ya utendaji wa timu hiyo Said Tuli mchezo uliyochezwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jana

No comments:

Post a Comment