Kocha msdizi mpya kutoka nchni Rwanda aliwa amewasili kuifundisha Simba katita Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Mratibu wa timu ya Simba, Abas Ali (kulia
akiongoza na kocha mpya wa timu hiyo, Masoud Djuma, wakati alipowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam jana
Mratibu wa timu ya Simba, Abas Ali (kushoto),
akisalimiana na kocha msaidizi mpya wa timu hiyo, Masoud Djuma, wakati alipowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam jana
No comments:
Post a Comment