Mshambuliaji wa Simba, Emannuel Okwi (katikati) akiwatoka wachezaji wenzake wakati wa mazoezi ya timu hiyo yaliofanyika katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi ya kupiga danadana mipira wakati wa mazoezi ya timu hiyo katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salam. PICHA NA DOULE J BLOG
No comments:
Post a Comment