Wachezaji
Taifa Stars, wakifanya mazoezi ya kukimbia kwa ajili yakujianda na mechi ya
kirafiki dhidi ya Malawi mazoezi yaliyofanyika viwanja vya Boko Veterani Dar es
Salaam jana.Picha na Double J Blog
Wachezaji wa timu ya Taifa Stars wakifanya mazoezi ya viungo katika Uwanja wa boko Veteran Dar es Salaam. Picha na Double J Blog
No comments:
Post a Comment