KAMPUNI YA HARI SINGH YAENDELEA NA UJENZI WA BARABARA YA KIVULE DAR ES SALAAM
Baadhi
ya Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi wa Barabara Hari Singh wakiendelea na vipimo
vya ujenzi wa Barabara ya Kitunda hadi Kivule kwa kiwango cha lami jijini Dar
es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment