Mchezaji wa
Azam FC, Yahya Said (kushoto), akimiliki mpira huku akizongwa na wachezaji wa
timu ya vijana Ngorongoro Heroes, wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika
katika viwanja vya Jakaya Kikwete Dar es Salaam jana.
Mchezaji wa
Azam FC, Enock Atta (katikati), akiwatoka wachezaji wa
timu ya vijana Ngorongoro Heroes, wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika
katika viwanja vya Jakaya Kikwete Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment