Saturday, October 7, 2017

TAIFA STARS TASHINDWA KUTAMBA MBELE YA MALAWI WALAZMISHWA SALE UWANJA WA UHURU


 Baadhi ya watumbuizaji kutoka kampuni ya Serengeti ambao ni wadhamini wa timu ya Taifa Stars. Picha na Double J Blog

 Waziri Mwakyembe akisalimiana na wachezaji wa taifa stars


 Kikosi cha Taifa Stars

 Kikosi cha timu ya taif ya Malawi

 Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kushoto, akimuadaa mchezaji wa timu ya Taifa ya Malawi, Banda John, wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika ktika Uwanja wa Uhuru Dar es Salam jana




Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta katikati, akiwatika wachezaji wa timu ya Taifa ya Malawi wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika ktika Uwanja wa Uhuru Dar es Sala

No comments:

Post a Comment