Wachezaji wa Stars wakipiga tizi
Wachezaji
wa Timu ya Taifa Stars, Ibrahim Ajib (kushoto), na Simon Msuva, wakiwania mpira
wakati walipokuwa wakifanya mazoezi katika Viwanja wa Jakaya Kikwete Kidongo
Chekundu Dar es Salaam jana. PICHA DOUBLE J BLOG
No comments:
Post a Comment