WEMA SEPETU AKIWA NA MAMA YAKE WAKITOKA MAHAKAMANI
Msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu
(kushoto) akiwa mama yake mzazi, Miriam Sepetu wakati alipokuwa akitoka katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana kusikiliza kesi inayo
mkabili. PICHA NA DOUBLE J BLOG
No comments:
Post a Comment