Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Bi. Vaileti Mwazembe akizungumza na walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali katika hafla ya kuadhimisha mwezi wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na taasisi hiyo. Hafla hiyo imefanyika Kitunda, jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Zawadi Thomas akizungumza na walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali jijini Dar es Salaam hivi karibuni katika hafla ya kuadhimisha mwezi wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na taasisi hiyo.
. Meneja Biashara wa Benki ya CRDB, Fatuma Mushi ( wa tatu kushoto) akikata keki katika hafla ya kuadhimisha mwezi wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali mchango wa mkubwa wanatoa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na taasisi hiyo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Bi. Vaileti Mwazembe na Katibu wa Taasisi hiyo, Zawadi Thomas.
Ofisa Maendeleo Kata ya Kitunda, Betty Mzava ( wa pili kulia) akizungumza na walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali jijini Dar es Salaam hivi karibuni katika hafla ya kuadhimisha mwezi wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation.
Meneja Biashara wa Benki ya CRDB, Fatuma Mushi akizungumza na walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali jijini Dar es Salaam hivi karibuni katika hafla ya kuadhimisha mwezi wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation.
Ofisa Mtendaji Kata ya Kivule, Ulindula Mtemi akizungumza na walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali jijini Dar es Salaam hivi karibuni katika hafla ya kuadhimisha mwezi wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation.
Baadhi ya walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali wakihudhuria katika hafla ya kuadhimisha mwezi wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation.
. Meneja Biashara wa Benki ya CRDB, Bi.Fatuma Mushi ( kulia) akimlisha keki Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Bi. Vaileti Mwazembe katika hafla ya kuadhimisha mwezi wa wanawake duniani iliyoandaliwa na taasisi hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Zawadi Thomas ( kulia) akikabidhi keki kwa Meneja Biashara wa Benki ya CRDB, Bi.Fatuma Mushi kuashiria shukrani baada ya kushiriki katika hafla ya kuadhimisha mwezi wa wanawake duniani iliyoandaliwa na taasisi hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment