Vijana Serengeti Boys chini ya umri wa miaka 18 wakiwa mazoezini katika Uwanja wa Karume Dar es Salaam

Thursday, September 7, 2017
Wednesday, September 6, 2017
SIMBA WAPIGA TIZI LA KUIUWA AZAM KATIKA UWANJA WA UHURU
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam jana. Picha Zote na Jumanne Juma
Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog kulia na msaidizi wake, James Mayanja wakijadiliana
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi
Mshambuliaji wa Simba, John Bocco akifunga vizuri kiatu chake
Kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima kushoto, akijaribu kuwatoka wachezaji wenzake wakati wa mazoezi yaliofanyka katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Septemba 6
John Bocco katikati akiwatoka wachezaji wenzake

Tuesday, September 5, 2017
MANJI AANZA KUFURAI
Mfanyabiashara maalufu, Yusuf Manji kulia akiwa na skari kanzu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana
DARASA LA SABA KUMALIZA INGWE YA MSINGI ALHAMISI
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani
Tanzania (NECTA) Dk. Charles Msonde (kushoto) akizungumza na waanishi wa habari
Dares Salaam jana kuhusu wanafunzi wa darasa la saba kufanya mitihani ya
kumaliza elimu ya msingi
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Dk. Charles Msonde (kushoto) akizungumza na waanishi wa habari Dares Salaam jana kuhusu wanafunzi wa darasa la saba kufanya mitihani ya kumaliza elimu ya msingi (kushoto) ni Naibu Katibu Mtendaji, Athumani Salumu

Sunday, September 3, 2017
SIMBA WAIPIGA HARD ROCK YA ZANZIBAR 5-0 KATIKA MECHI Y KIRAFIKI ILIYOFANYIKA KWENYE UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM,
Simba ikishangilia
Wachezaji wa Simba wakishangilia
Wachezaji wa Simba wakishangilia
Biki wa Simba, Mohamed Husein (TShabalala) juu, akiwa
ameluka kwanja la mchezaji timu ya Hard Rock kutoka Zanzibar, Mussa Mude wakati
wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salam jana
Simba imeshinda mabao 5-0. Picha na Jumanne Juma
BIASHARA YA MBUZI
Mkazi wa jjini Dar es Salaam akiwa amebeba mbuzi kwa ajili ya biashara katika eneo la Jangwani Dar es Salaam

TIMU YA UHAMIAJI YAFANYA MAZOEZI KUJIANDAA NA MASHINDANO YAJAYO KWENYE UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM
Wachezaji wa timu ya Uhamiaji wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Subscribe to:
Posts (Atom)