Wednesday, October 11, 2017
TIMU YA NGUMI YA URAFIKI YAENDELEA NA MAZOEZI UWANJA WA KINESI DAR ES SALAAM
Kocha wa Klabu ya ngumi ya Urafiki, Abdul Mngweno (kulia), akiwaelekeza Mbondia wake, Mohamed Ismail (kushoto) na Mkude Somba, wakati wa mazoezi
yaliyofanyika jana Dar es Salaam.
Tuesday, October 10, 2017
PICHA ZA MAHAKAMA YA KISUTU LEO
Wahamiaji wa kesi ya meno ya Tembo wakitoka katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana kwa ajili ya kusikiliza kesi inayo wakabili.
Wahamiaji haramu kutoka nchni Ethiopia wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana kwa ajili ya kusikiliza kesi inayo wakabili
Saturday, October 7, 2017
TAIFA STARS TASHINDWA KUTAMBA MBELE YA MALAWI WALAZMISHWA SALE UWANJA WA UHURU
Baadhi ya watumbuizaji kutoka kampuni ya Serengeti ambao ni wadhamini wa timu ya Taifa Stars. Picha na Double J Blog
Waziri Mwakyembe akisalimiana na wachezaji wa taifa stars
Kikosi cha Taifa Stars
Kikosi cha timu ya taif ya Malawi
Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kushoto, akimuadaa mchezaji wa timu ya Taifa ya Malawi, Banda John, wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika ktika Uwanja wa Uhuru Dar es Salam jana
AZAM WAIPIGA NGORONGORO HEROES BAO 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI
Mchezaji wa
Azam FC, Yahya Said (kushoto), akimiliki mpira huku akizongwa na wachezaji wa
timu ya vijana Ngorongoro Heroes, wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika
katika viwanja vya Jakaya Kikwete Dar es Salaam jana.
Mchezaji wa
Azam FC, Enock Atta (katikati), akiwatoka wachezaji wa
timu ya vijana Ngorongoro Heroes, wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika
katika viwanja vya Jakaya Kikwete Dar es Salaam jana.
Subscribe to:
Posts (Atom)