Wednesday, May 24, 2023

TAASISI YA GREEN KIDS & YOUTH FOUNDATION YAWAPIGA JEKI WAJASIAMALI

Monday, March 27, 2023

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION YAZIDI KUENDELEZA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Bi. Vaileti Mwazembe akizungumza na walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali katika hafla ya kuadhimisha mwezi  wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na taasisi hiyo. Hafla hiyo imefanyika Kitunda, jijini Dar es Salaam hivi karibuni. 


Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Zawadi Thomas akizungumza na walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali jijini Dar es Salaam hivi karibuni katika hafla ya kuadhimisha mwezi  wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na taasisi hiyo. 

. Meneja Biashara wa Benki ya CRDB, Fatuma Mushi ( wa tatu kushoto) akikata keki katika hafla ya kuadhimisha mwezi  wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali  mchango wa mkubwa wanatoa  katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na taasisi hiyo. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Bi. Vaileti Mwazembe na Katibu wa Taasisi hiyo,  Zawadi Thomas.

Ofisa Maendeleo Kata ya Kitunda, Betty Mzava ( wa pili kulia) akizungumza na walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali jijini Dar es Salaam hivi karibuni katika hafla ya kuadhimisha mwezi  wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na Taasisi ya  Green Kids and Youth Foundation.

Meneja Biashara wa Benki ya CRDB, Fatuma Mushi  akizungumza na walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali jijini Dar es Salaam hivi karibuni katika hafla ya kuadhimisha mwezi  wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na  Taasisi ya  Green Kids and Youth Foundation.

Ofisa Mtendaji Kata ya Kivule, Ulindula Mtemi akizungumza na walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali jijini Dar es Salaam hivi karibuni katika hafla ya kuadhimisha mwezi  wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na  Taasisi ya  Green Kids and Youth Foundation.

Baadhi ya walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali  wakihudhuria katika hafla ya kuadhimisha mwezi  wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na  Taasisi ya  Green Kids and Youth Foundation.

. Meneja Biashara wa Benki ya CRDB, Bi.Fatuma Mushi ( kulia) akimlisha keki Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Bi. Vaileti Mwazembe katika hafla ya kuadhimisha mwezi  wa wanawake duniani iliyoandaliwa na taasisi hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.


Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Green Kids and Youth Foundation, Zawadi Thomas ( kulia) akikabidhi keki kwa Meneja Biashara wa Benki ya CRDB, Bi.Fatuma Mushi  kuashiria shukrani baada ya kushiriki katika hafla ya kuadhimisha mwezi  wa wanawake duniani iliyoandaliwa na taasisi hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.







Meneja Biashara wa Benki ya CRDB, Bi.Fatuma Mushi  akikabidhi vyeti vya shukurani kwa walimu,watumishi wa afya, wafanyakazi wa serikalini na binafsi pamoja na wajasiriamali jijini Dar es Salaam hivi karibuni katika hafla ya kuadhimisha mwezi  wa wanawake duniani ikiwa ni pamoja na kuwatambua mchango wao mkubwa katika kutetea unyanyasaji wa kijinsia na kuwatia moyo na kudumisha mahusiano bora na  Taasisi ya  Green Kids and Youth Foundation.




Meneja Biashara wa Benki ya CRDB, Bi.Fatuma Mushi  akipiga picha ya pamoja na wanachama wa Taasisi ya  Green Kids and Youth Foundation  katika hafla ya kuadhimisha mwezi  wa wanawake duniani iliyoandaliwa na taasisi hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni.











Saturday, March 4, 2023

WAKAZI WA TABATA WAKUTANA NA NEEMA YA TUWODO

Friday, October 7, 2022

TAASISI YA OMTO YAZINDUA MRADI WA PIKIPIKI KUADHIMISHA MIAKA 3 YA TAASISI HIYO.

 

Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Tanzania, Maida Waziri akikata utepe kuzindua mradi wa bodaboda wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule ( kushoto ) na Mwasisi wa Vicoba Endelevu, Devotha Likokola (kulia) wakiwa katika maandamano na baadhi wa wanawake wajsiriamali wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto (katikati) akimkabidhi cheti cha shukrani Mwasisi wa Vicoba Endelevu, Devotha Likokola ( kulia) wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Anna Haule.


Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto akikabidhi msingi wa biashara kutoka kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) kwa mmoja wa wazee wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto akikabidhi vifaa vya shule kutoka kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) kwa mmoja wa watoto wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Tanzania, Maida Waziri akizungumza wakati wa wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Mwasisi wa Vicoba Endelevu, Devotha Likokola ( kulia) akizungumza wakati wa wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.]


Mwenyekiti wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Athumani Kigwe ( kulia ) na Mwanachama wa Taasisi hiyo, Twaha Sadiki ( waliopanda pikipiki)  wakijaribu pikipiki baada ya kukabidhiwa na taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Baadhi ya Wanachama wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) wakimuaga Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Tanzania, Maida Waziri wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.