Okwi kulia akishangilia bao lake la pili
Kepten Bocco kulia akimpiga tobo mchezaji wa Majimaji, Lucas Kitoti,
Furaha tupu
Mashabiki wa Simba wakiwa na furaha
Sunday, January 28, 2018
Saturday, January 27, 2018
YANGA WAIPIGA AZAM KWAO
Yakubu Mohammed kulia wa Azam akipambana na wacezaji wa Yanga
Wachezaji wa Yanga wakishangilia
Mashabiki wa Yanga
Wachezaji wa Yanga wakishangilia
Mashabiki wa Yanga
Saturday, January 13, 2018
AZAM WETETEA UBINGWA WAO WA KOMBE LA MAPINDUZI YAIFUNGA URA YA UGANDA PICHA NA DOUBLE J BLOG
Kipa wa Azam na wachezaji wenzake wakishanglia
Wachezaji wa Azam wakimbeba kocha wao
Wachezaji wa Azam wakishangilia
Wachezaji wa Azam wakimbeba kocha wao
Wachezaji wa Azam wakishangilia
Wednesday, January 10, 2018
YANGA YATOLEWA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI NA URA YA UGANDA PICHA NA DOUBLE J BLOG
Winga wa Yanga, Emannuel Martin katikati, akijalibu kuwatoka wachezji wa URA
Mchezaji wa Yanga, Ibrahim Ajib kulia, akipambana na mchezaji wa URA, Kabaga Nicholas, wakati wa mchezo wa Nusu Fainal ya Kombe la Mapinduzi
Mshambuliaji wa Ynga, Obrey Chirwa, katikati, akiwaruka wachezaji wa URA ya Uganda katika mchezo wao wa Nusu Fainali ya michuano ya kombe laMapinduzi uliofanyika kwenye Uwanja wa Amani PICHA NA DOUBLE J BLOG

Tuesday, January 9, 2018
MUSLIM HASSANAL WA CHADEMA AJIUNGA NA CCM PICHA NA DOUBLE J BLOG
Aliyekuwa kada wa Chadema, Muslim Hassanal daada ya kujiunga na CCM Dar es Salaam leo
Aliyekuwa kada wa Chadema, Muslim Hassanal, akilakiwa na wanachama wa CCM daada ya kujiunga na caham hicho Dar es Salaam leo. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philipo Mangula kulia akimsalimu aliyekuwa kada wa Chadema, Muslim Hassanal daada ya kujiunga na CCM Dar es Salaam leo

Sunday, January 7, 2018
MKUTANO WA MATAWI YA YANGA WAKWAMA
Wanachana wa Klabu ya Yanga matawi ya Dar es Salaam wakiwa nje ya jengo la klabu hiyo kusubili hatma ya mkutano wao baada ya viongozi wao kuitwa kituo cha Polisi. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Subscribe to:
Posts (Atom)