Mkurugenzi wa Taasisi ya
Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna
Haule (katikati), Katibu wa OMTO, Eliwaza Joseph na Mkurugenzi wa Taasisi ya Fahari Tuamke Maendeleo,
Neema Mchau wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza maadhimisho ya
maika 12 ya Kikundi cha Vicoba cha Wateule kilichopo Ulongoni jijini Dar es
Salaam jana. Saturday, November 18, 2023
WATEULE VICOBA WAKUTANA NA NEEMA YA OMTO
Mkurugenzi wa Taasisi ya
Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna
Haule (katikati), Katibu wa OMTO, Eliwaza Joseph na Mkurugenzi wa Taasisi ya Fahari Tuamke Maendeleo,
Neema Mchau wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza maadhimisho ya
maika 12 ya Kikundi cha Vicoba cha Wateule kilichopo Ulongoni jijini Dar es
Salaam jana. Thursday, July 27, 2023
CRDB YAWAPA MITAJI WANACHAMA WA OMTO KUPITIA IMBEJU
Mweka Hazina wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Eugenia Shayo akizungumza katika hafla hiyo.
Saturday, July 8, 2023
BONANZA LA KIJANA JITAMBUE LALETA NEEMA KITUNDA
Wednesday, June 7, 2023
WANACHAMA WA OMTO WANUFAIKA NA IMBEJU YA CRDB
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule ( katikati ), Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto ( kushoto ), Meneja wa CRDB Tawi la Ubungo, Hollo Buyamba ( wa pili kushoto) na Meneja Mradi wa CRDB Foundation, Baraka Kiyolo ( kulia) wakiserebuka wakati wa kongamano la wajasiriamali lililowezesha kupata mitaji wezeshi kwa ajili ya kinamama wajasiriamali kupitia programu ya Imbeju lililofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Meneja wa CRDB Tawi la Ubungo, Hollo Buyamba akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa kongamano la wajasiriamali lililoandaliwa na Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) ikishirikiana na benki hiyo kumwezesha mjasiriamali kupata mtaji kupitia programu yake ya IMBEJU.
Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa kongamano la wajasiriamali lililoandaliwa na Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) ikishirikiana na Benki ya CRDB kumwezesha mjasiriamali kupata mtaji kupitia programu yake ya IMBEJU.
Meneja Mradi wa CRDB Foundation, Baraka Kiyolo akitoa elimu ya programu ya IMBEJU inavyomwezesha majsiriamali kupata mtaji wa biashara kupitia Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) wakati wa kongamano la wajasiriamali lililoandaliwa na Taasisi hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Kikundi cha Kipaji Changu kikitumbuiza wakati wa kongamano hilo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule ( kulia), Meneja wa CRDB Tawi la Ubungo, Hollo Buyamba ( wa pili kulia), Meneja Mradi wa CRDB Foundation, Baraka Kiyolo ( wa pili kushoto) na Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto wakiagana baada ya kumaliza kongamano.
Baadhi ya akina mama wajasiriamali wakihdhuria katika kongamano hilo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa benki ya CRDB, Kata ya Kitunda na Wakurugenzi wa taasisi mbalimbali katika makao makuu ya Taasisi hiyo yaliyopo Kitunda kabla ya kuelekea katika kongamano hilo.



























