Thursday, November 30, 2017

AZAM YAJITOSA KUONYESHA CHALENGE


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Midia, Tido Mhando (katikati), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati akitanga kuingia mkataba na baraza la vyama vya soka barani Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kuonyesha mechi zote za Kombe la Challenge (kushoto) ni meneja mauzo wa azam, John Mbelle na (kulia) ni meneja uzalishaji wa azam, Chales Hillary.PICHA NA DOUBLE J BLOG

Tuesday, November 28, 2017

MAKAMU WA RAIS AMTEMBELEA, TUNDU LISSU, KENYA



Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akimjulia hali Mbunge wa Singida, Tundu Lissu, wakati alipomtembele katika Hospitali aliyolazwa nchini Kenya.

RAZA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA MAJIMBO KUMI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KWA WAZIRI MKUU



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Uzini, Mohamed Raza




 Waziri Mkuu akiangalia vifaa vya michezo




 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katikati, akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda vikombe vilivyotolewa na, Mbunge, Mohamed Raza kulia

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katikati akipokea jezi kutoka kwa Mbunge wa Uzini, Mohamed Hassam Raza, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Sunday, November 26, 2017

SIMBA NA LIPULI KAMA YANGA NA PRISONS NGOMA NDINDI

 Beki wa Simba, Mohamed Huesin (kushoto) akimtoka mchezaji wa Lipuli, Martin Kazila wakati w mchezo wao wa ligi Kuu leo

 Wachezaji wa Simba wakishangilia


 Kikosi cha Lipuli


Kikosi cha simba



YANGA NA TANZANIA PRISONS HAKUNA MBABE


Mshambuliaji wa Yanga, Obery Chirwa (katikati) akiwania mpira na wachezaji wa Tanzania Prisons wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu Tanzania bara uliofanyika katika Uwanja wa Chamazi jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG


Winga wa Yanga, Emannuel Martn (kulia), akiwania mpira na mchezaji Tanzania Prisons, Kassim Hamis, wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG



Winga wa Yanga, Emannuel Martn (kulia), akipiga shuti mpira mbele ya mchezaji Tanzania Prisons, Kassim Hamis, wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG


 Kipa wa Tanzania Prisons, Aaron Karambo, akiangalia mpira ulioingia goli kwake na kuipa Yanga bao la kusawazisha wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu. jana. PICHA NA DOUBLE J BLOG


Mashabiki wa Yanga wakishanglia baada ya kupata bao la kusawazisha dhidi ya Tanzania Prisons

Thursday, November 23, 2017

POLISI USALAMA BARABARANI KITENGO CHA PIKIPIKI WAFANYA MAZOEZI KUJIANDAA NA SHEREHE YA MEI MOSI


Kiongozi wa misafara ya viongozi Kitaifa na Kimataifa Khalfan Said katikati, akiongoza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya Sherehe za mei mosi Dar es Salaam. PICHA NA DUOBLE J BLOG

WANARIADHA WA NJOMBE WAFANYA MAZOEZI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KITAIFA

Wanariadha wa Mkoa wa Njombe wakifanya mazoezi ya kukimbia kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya kitaifa leo. PICHA NA DUOBLE J BLOG