Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa mwaka 2024 wenye lengo la kukutanisha wanachama kufungua mwaka pamoja na kupanga mikakati mbalimbali ya kimaendeleo katika taasisi hiyo jijini Dar es Salaam leo. Miongoni mwa waadau walioalikwa katika mkutano huo ni Mfuko Wa Uwekezaji Wa Pamoja ulionzishwa na Serikali (UTT Amis ), Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) , Mstaafu Forum na wadau wengine wa Technolojia. Mkutano huo ulifanyika makao makuu mwa Taasisi hiyo Kitunda.
Mkurugenzi wa Mstaafu Forum, Charles Ligonja
akitoa somo la ushirikiano kwenye vikundi wakati mkutano wa kwanza wa mwaka
2024 wenye lengo la kukutanisha
wanachama wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), kufungua mwaka pamoja na kupanga mikakati
mbalimbali ya kimaendeleo katika taasisi hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Ofisa Masoko wa Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja
( UTT Amis ), Medson Enock akitoa somo la uwekezaji wa hati fungani wakati
mkutano wa kwanza wa mwaka 2024 wenye lengo la
kukutanisha wanachama Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind
and Thoughts Organization (OMTO), kufungua mwaka pamoja na kupanga mikakati
mbalimbali ya kimaendeleo katika taasisi hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Wadau Kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya
Jamii (NSSF)b wakitoa elimu ya kujiwekea akiba wakati mkutano wa kwanza wa
mwaka 2024 wenye lengo la kukutanisha