Meneja wa Bima wa First National Bank
(FNB), Masoud Mndeme (Kulia), akizingumza na waandishi wa habari jijini Dar es
salaam wakati wa uzinduzi wa Bima ya Mazishi “ Faraja Plan”, bima iliyobuniwa
kwa lengo la kuwafariji wanafamilia pale mmoja wao anapofariki. (Katikati) ni
Mkuu wa Kitengo cha Biasharawa FNB, Francois Botha na Msimamizi wa Mipango
kutoka Kampuni ya Bima ya Metropolitan, Rachael Mwenda. Picha na Double J Blog
Baadhi ya watendaji wa benki ya FNB wakiwa wameshika vipeperushu wakati wa uzinduzi wa huduma ya bima ya faraja. Picha na Double J Blog