Kocha wa Simba, Joseph Omog kushoto akitoa maelekezo mchezaji wake
Kocha wa Simba, Joseph Omog kushoto akitoa maelekezo mchezaji wake, Said Ndemla
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi ya kukimbia
Kumiliki mpira
Kocha, Omog kushoto akimwambia kipa wa timu hiyo kuwa umenenepa
Tunafanyaga hivi
Mwinyi Kazimoto akiluka
Mohamed Hussein
Kotei
Wakikontroo mpira
Kipa wa Simba Aishi Manula
Wednesday, September 13, 2017
Sunday, September 10, 2017
KAMPUNI YA UJENZI YA SINGHS & SONSI YAANZA UJENZI WA BARABARA YA KITUNDA HADI KIVULE KWA KIWANGO CHA RAMI
Wakazi wa Kitunda Dar es Salaam wakiliangalia
Katapila la Kampuni ya Ujenzi ya Singhs & Sons likichonga barabara kutoka Kitunda kati mpaka kivule jijini Dar es Salaam kwa kwa ajili ya ujenzi wa kiwango cha rami. Picha na Jumanne Juma
Katapila la Kampuni ya Ujenzi ya Singhs & Sons likichonga barabara kutoka Kitunda kati mpaka kivule jijini Dar es Salaam kwa kwa ajili ya ujenzi wa kiwango cha rami. Picha na Jumanne Juma
Saturday, September 9, 2017
SIMBA NA AZAM HAKUNA MBABE MCHEZO ULIOFANYIKA CHAMAZI
Kikosi Cha Simba
Kikosi Cha Azam FC
Kocha wa Azam FC, Aristica Cioba
Mshambuliaji wa Azam FC, Yahaya Mohamed katikati akiwatoka mabeki wa Simba katika mchezo wao wa ligi Kuu
Nahodha wa Simba, Method Mwanjali chini akimzibiti Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yusuph katika mchezo wao wa ligi Kuu jana timu hizo zilitoka sele ya bila kufungana
Mashabiki wa Simba
Mashabiki wa Azam FC
Mshambuliaji wa Azam FC, Yahaya Mohabed kushoto akijalibu kumtoka beki wa Simba, Salim Mbonde katika mchezo wao wa ligi Kuu uliofnyika Chamazi

Thursday, September 7, 2017
AZAM FC WAPIGA TIZI LA KUIUWA SIMBA SEPTEMBA 9
Kocha wa Azam FC, Mromania. Aristica Cioaba, akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi ya timu hiyo yaliofanyika katika Uwanja wao wa Chmazi
Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakifanya mazoezi katika Uwanja wao wa Chamazi Dar es Salaam juzi usiku
Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakifanya mazoezi katika Uwanja wao wa Chamazi Dar es Salaam juzi usiku Picha zote na Jumanne Juma

MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM AKUTANA NA MEYA WA XIN"AN ZHU HUAN
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akisalimiana na Meya
wa jiji la Xin'an Zhu Huan alipomtembelea ofisini kwale leo na kufanya
nae mazungumzo
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita
akisalimiana na Meya wa jiji la Xin'an Zhu Huan alipomtembelea ofisini kwale
leo na kufanya nae mazungumzo
YONO YAPIGA MNADA NYUMBA ZA LUGUMI
Mkurugenzi wa Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart,
Christina Kevela, akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu kuuza Mali za Kampuni
za Ligumi itakayo anza Septemba (9)
jijini Dar es Salaam. Picha zote na Jumanne Juma
Mkurugenzi wa Yono Auction Mart, Christina Kevela
Mkurugenzi wa Yono Auction Mart, Christina Kevela
Mkurugenzi wa Yono Auction Mart, Christina Kevela
Mkurugenzi wa Yono Auction Mart, Christina Kevela
TIMU YA UHAMIAJI WANAWAKE WAENDELEZA MAZOEZI KATIKA UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM
Wachezaji wa timu ya wanawake ya mamraka ya uhumiaji wakifanya mazoezi ya viungo
Wachezaji wa timu ya wanawake ya mamraka ya uhumiaji wakifanya mazoezi ya viungo
Wachezaji wa timu ya wanawake ya mamraka ya uhumiaji wakifanya mazoezi ya viungo
Subscribe to:
Posts (Atom)