Sunday, September 24, 2017

JUMUIYA YA MAKHOJA WAJITOLEA DAMU KWA AJILI YA MFUKO WA TAIFA

 Baadhi ya wanajumuiya ya Khoja wakitoa damu wakati juhuiya hiyo ilipojitolea damu kwa ajili ya mfuko wa Taifa Dar es Salaam jana Picha na Double J Blog


 Mtaalamu wa afya jutoka Wizara ya afya na ustawi wa jamii, Peter Chawai akimtoa damu mmoja wa jumuiya hiyo

 Baadhi ya wanajumuiya ya Khoja wakisubili kujiandikisha kutoa damu wakati juhuiya hiyo ilipojitolea damu kwa ajili ya mfuko wa Taifa Dar es Salaam jana Picha na Double J Blog

Friday, September 22, 2017

WANAFUNZI VIZIWI WASHEREHEKEA SIKU YA VIZIWI DUNIANI

 Wanafunzi wa Shule ya msingi viziwi Buguruni Dar es Salaam wakicheza ngoma wakati wa maandimisho ya siku ya viziwi duniani septemba 22

 Diwani wa Kata ya Buguruni, Adam Rajabu (katikati), akicheza muziki wa wanafunzi wa viziwi wakati wa maadhimisho yao duniani kote

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi, Mirembe Kulwa, akicheza muziki na wanafunzi viziwa wa Shule hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya viziwi duniani

YANGA TIZI KALI SANAA KWA KUIANGAMIZA NDANDA FC

Wachzaji Yanga, Obrey Chirwa (kushoto) na Nahodha wa timu hiyo, Nadiri Cannavaro wakiwania mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo jijini Da res Salaam


Kocha wa Yanga, Geogre Lwandamina na Meneja wa timu, Hafidhi Saleh, wakizungumza na mchezaji wao, Pato Ngonyani, wakati wa mazoezi ya timu hiyo

Kocha wa Yanga, Geogre Lwandamina na Meneja wa timu, Hafidhi Saleh, wakizungumza wakati wa mazoezi ya timu hiyo. Picha zote na Double J Blog

Thursday, September 21, 2017

TIMU YA TAIFA YA RIADHA WAENDELEA KUFANYA MAZOEZI UWANJA WA TAIFA

 Mwanariadha wa timu ya Taifa akitimua mbio wakai alipokuwa akifanya mazoezi

  Mwanariadha wa timu ya Taifa akitimua mbio wakai alipokuwa akifanya mazoezi

  Mwanariadha wa timu ya Taifa akitimua mbio wakai alipokuwa akifanya mazoezi

Wanariadha wa timu ya Taifa wakijiandaa kutimua mbio wakai walipokuwa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. Picha na Double J Blog


Wanariadha wa timu ya Taifa wakitimua mbio wakai walipokuwa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. Picha na Double J Blog

MABONDIA WA TIMU YA TAIFA WAFANYA MAZOEZI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA MADOLA


Mabondia wa timu ya Taifa, Ismair Ngalikama (kulia) na Mwarami Ngayama, wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Ndani wa Taifa Dar es Salaam jana kwa maandalizi ya michuano ya madola. 

 Mabondia wa timu ya Taifa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es Salaam jana. Picha zote na Double J Blog

Mabondia wa timu ya Taifa wakifanya mazoezi katika Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es Salaam jana

YANGA WAENDELEZA MAZOEZI KATIKA UWANJA WA UHURU

 Kocha wa Yanga, Geogre Lwandamina kulia akimpa maelekezo mchezaji wake, Ninja

 Kipa wa Yanga, Beno Katolanya

 Kocha wa Yanga, Geogre Lwandamina kulia akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Uhuru jana

  Ngoma kushoto akiwatoka wenzake

 Ngoma kushoto akipamban  na Hassan Kessy

Kocha wa Yanga, Lwandamina kulia na Kamusoko wakijadili jambo

KOCHA WA YANGA NA KAMUSOKO

Kamusoko kushoto  na kocha wake Lwandamina