Thursday, October 5, 2017

KAMPUNI YA HARI SINGH YAENDELEA NA UJENZI WA BARABARA YA KIVULE DAR ES SALAAM


Baadhi ya Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi wa Barabara Hari Singh wakiendelea na vipimo vya ujenzi wa Barabara ya Kitunda hadi Kivule kwa kiwango cha lami jijini Dar es Salaam leo.

Wednesday, October 4, 2017

STARS WAPIGA TIZI KUIVAA MALAWI

 Wachezaji Taifa Stars, wakifanya mazoezi ya kukimbia kwa ajili yakujianda na mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi mazoezi yaliyofanyika viwanja vya Boko Veterani Dar es Salaam jana.Picha na Double J Blog



Wachezaji wa timu ya Taifa Stars wakifanya mazoezi ya viungo katika Uwanja wa boko Veteran Dar es Salaam. Picha na Double J Blog

Tuesday, October 3, 2017

MSEMAJI WA SIMBA HAJI MANARA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABAR KUSU MCHEZO WAO WA KIRAFIKI DHIDI YA TIMU YA DODOMA FC


Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara, akizungumzia maandalizi ya mchezo kati ya Dodoma FC na Simba katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma

Monday, October 2, 2017

AZAM YAANDAA TAMASHA LA FILAM LA KIMATAIFA



Mratibu wa Tamasha la jipya la kimataifa la filam litakalojulikana kwa jina la Sinema Zetu, linalozaminiwa na Kampuni ya Azam Tv, Zamaradi Nzowa, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam juu ya kuanza kushindanish kazi za wasanii. Picha na Double J Blog





Msanii wa Filam nchini, Elizabeth Michael (Lulu), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kuteuliwa na Azam Tv kuwa balozi wa Tamasha la jipya la kimataifa la filam litakalojulikana na kwa jina la Sinema Zetu, linalozaminiwa na Kampuni ya Azam Tv, (katikati) ni Mkurugenzi wa tamasha wa   Tv, Jacob Joseph na kulia ni, mratibu wa tamasha hilo, Zamaradi Nzowa. Picha na Double J Blog
 

Sunday, October 1, 2017

TIMU YA TANZANITE YAPIGWA (6) MBELE YA WAZIRI MWAKYEMBE

 Kipa wa timu ya Tanzanaite, Gelwa Yona akiokoa mpira ulioelekezwa golini kwake wakati wa mchezo wao dhidi ya Nigeria uliochezwa katika Uwanja wa Chamazi. Picha na Double J blog

 Kikosi cha Nigeria cha wanawake

 Kikosi cha Tanzanite ya Tanzania


Mchezaji wa Tanzanite, Zainab Ati akiwatoka wachezaji wa Nigeria wakati wa mchezo wao wa kufuzu fainali za Dunia kwa wanawake waalio chini ya miaka 20 uliochezwa katika Uwanja wa Chamazi Dar es Salaam jana