Friday, November 10, 2017

YANGA WAENDELEA MAZOEZI UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM LEO



Kocha msaidizi wa Yanga , Shadrack Nsajigwa (kulia), akiwania mpira na mchezaji wa tiumu hiyo, Ninja wakati wa mazoezi yaliofanyika katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo. PICHA NA DOUBLE J BLOG

Wednesday, November 8, 2017

MICHUANO YA MPIRA WA PETE YAPENDEZA


Mchezaji wa Timu ya mpira wa Pete ya Pamoja Youth,  akimiliki mpira  wakati wa mchezo wao wa michuano ya ligi daraja la pili dhidi na   Polisi Sengerema, uliofanyika katika viwanja vya Jakaya Kikwete Dar es Salaam juzi

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA KUBORESHA MTANDAO IJULIKANAYO KWA JINA LA U900 LA


Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mbando (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati alipokuwa akitangaza kuzinfua huduma mpya ya iliyopewa jina la U900’ ukiwa na lengo la kuimrisha ubora wa mtandao (kushoto) ni Meneja wa huduma wa mtandao, Emannuel Luanda. PICHA NA DOUBLE J BLOG


Meneja wa huduma ya mtandao Airtel Tanzania, Emannuel Luanda, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati alipokuwa akitangaza kuzindua huduma mpya iliyopewa jina la U900’ ukiwa na lengo la kuimrisha ubora wa mtandao (kushoto) ni
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mbando
PICHA NA DOUBLE J BLOG

Tuesday, November 7, 2017

AZAM WAACHANA NA MCHEZAJI WAO, YAHAYA MOHAMMED


Msemaji wa timu ya Azam FC, Jaffar Idd.akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu timu hiyo kuachana na mchezaji wao raia wa Ghana, Yahaya Mohammed. PICHA NA DOUBLE J BLOG

STARS WAPIGA TIZI KATIKA VIWANJA VYA JAKAYA KIKWETE DAR ES SALAAM

 Wachezaji wa Stars wakipiga tizi


Wachezaji wa Timu ya Taifa Stars, Ibrahim Ajib (kushoto), na Simon Msuva, wakiwania mpira wakati walipokuwa wakifanya mazoezi katika Viwanja wa Jakaya Kikwete Kidongo Chekundu Dar es Salaam jana. PICHA DOUBLE J BLOG

Wednesday, November 1, 2017

WEMA SEPETU AKIWA NA MAMA YAKE WAKITOKA MAHAKAMANI



Msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu (kushoto) akiwa mama yake mzazi, Miriam Sepetu wakati alipokuwa akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana kusikiliza kesi inayo mkabili. PICHA NA DOUBLE J BLOG
 Wakazi wa Kigogo Dar es Salaam wakijinasua kutoka katika maji baada ya nyumba zao kujaa maji kutokana na mafuliko yaliotokea jijini humo leo

 Mkazi wa Kigogo Dar es Salaam akili kwa uchungu baada ya mali zake kusombwa na maji


 Waumini wa Kiislam katika Msikiti wa Kigogo Dar es Salaam wakitoka nje ya msikiti huo baada ya kujaa maji



 Wakazi wa Kigogo Dar es Salaam wakimsaidia mmoja wa  kutoka katika maji baada ya nyumba zao kujaa maji kutokana na mafuliko yaliotokea jijini humo leo